The mboni show
The mboni show
  • Видео 94
  • Просмотров 1 073 067

Видео

TAMASHA LA TAARAB LILILOFANYIKA MLIMANI CITY DAR ES SAALAM TANZANIA CHINI YA CHOCOLATE PRINCESS LTD
Просмотров 347Год назад
TAMASHA LA TAARAB LILILOFANYIKA MLIMANI CITY DAR ES SAALAM TANZANIA CHINI YA CHOCOLATE PRINCESS LTD
Neema Crafts - Tumeajiri Walemavu kwakuwa Wanaweza / Watalii wanaupenda Mgahawa Wetu
Просмотров 1142 года назад
Neema Crafts - Tumeajiri Walemavu kwakuwa Wanaweza / Watalii wanaupenda Mgahawa Wetu
Watoto Yatima walivyosherehekea " EID DAY OUT 2021 " / Wapata bahati ya kutembelea Nchi ya Uturuki.
Просмотров 952 года назад
Watoto Yatima walivyosherehekea " EID DAY OUT 2021 " / Wapata bahati ya kutembelea Nchi ya Uturuki.
Rashid Matumla - Ukitaka kuwafurahisha Mashabiki wa Boxing cheza Nje na Ndani / Hakuna Ujanja Ujanja
Просмотров 1472 года назад
Rashid Matumla - Ukitaka kuwafurahisha Mashabiki wa Boxing cheza Nje na Ndani / Hakuna Ujanja Ujanja
Schorastica - Naendesha Lori la Mafuta kwenda Nchi za Jirani / Changamoto ni Nyingi Barabaraani.
Просмотров 402 года назад
Schorastica - Naendesha Lori la Mafuta kwenda Nchi za Jirani / Changamoto ni Nyingi Barabaraani.
Sabah Mchachu - " Ushoga Una Matata " na " Uongo " ndio Nyimbo Zilizonitambulisha / Situmii Kilevi.
Просмотров 5512 года назад
Sabah Mchachu - " Ushoga Una Matata " na " Uongo " ndio Nyimbo Zilizonitambulisha / Situmii Kilevi.
FAYMA : Mimi ni Mama mwenye Watoto Mapacha Wanne, Wa tano alifariki. Nahitaji Msaada wa Malezi
Просмотров 4872 года назад
FAYMA : Mimi ni Mama mwenye Watoto Mapacha Wanne, Wa tano alifariki. Nahitaji Msaada wa Malezi
Mtwa Adam Wa Pili: Mimi ni Kizazi cha Tano baada ya Chifu Mkwawa/ Nilisimikwa nikiwa na Umri Mdogo.
Просмотров 12 тыс.2 года назад
Mtwa Adam Wa Pili: Mimi ni Kizazi cha Tano baada ya Chifu Mkwawa/ Nilisimikwa nikiwa na Umri Mdogo.
The Mboni Show - Mh. Richard Kasesela /Sikumtukana Mwananchi , watu walinielewa vibaya
Просмотров 7012 года назад
The Mboni Show - Mh. Richard Kasesela /Sikumtukana Mwananchi , watu walinielewa vibaya
The Mboni Show - MITANDAO YA KIJAMII NA UKUAJI WA MTOTO PAART 2
Просмотров 403 года назад
The Mboni Show - MITANDAO YA KIJAMII NA UKUAJI WA MTOTO PAART 2
The Mboni Show : RASHID MATUMLA, JINA LA SKANE BOY LILITOKA KWA MASHABIKI / NAUMWA NAHITAJI MSAADA.
Просмотров 783 года назад
The Mboni Show : RASHID MATUMLA, JINA LA SKANE BOY LILITOKA KWA MASHABIKI / NAUMWA NAHITAJI MSAADA.
The Mboni Show. UTANDAWAZI NA MALEZI YA MTOTO/JE NI SAHIHI MTOTO KUTUMIA MITANDAO YA KIJAMII.
Просмотров 4243 года назад
The Mboni Show. UTANDAWAZI NA MALEZI YA MTOTO/JE NI SAHIHI MTOTO KUTUMIA MITANDAO YA KIJAMII.
" Mh. Mgeni S. Juma " Wengi waliniotea Ndoto ya kuwa Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar
Просмотров 3653 года назад
" Mh. Mgeni S. Juma " Wengi waliniotea Ndoto ya kuwa Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar
The Mboni Show - " Caroline Nyalusi " Ajali ilisababisha Ulemavu wangu, sijakata tamaa Napambana.
Просмотров 6094 года назад
The Mboni Show - " Caroline Nyalusi " Ajali ilisababisha Ulemavu wangu, sijakata tamaa Napambana.
The Mboni Show - Amos Nderwa " Nina Ujuzi mwingi zaidi ya aliyekamilika Viungo "
Просмотров 7534 года назад
The Mboni Show - Amos Nderwa " Nina Ujuzi mwingi zaidi ya aliyekamilika Viungo "
The Mboni Show - Lulu & Steve Nyere " Kwenye Bongo Movie tumechelewa sana "
Просмотров 4,1 тыс.4 года назад
The Mboni Show - Lulu & Steve Nyere " Kwenye Bongo Movie tumechelewa sana "
The Mboni Show - Haji Manara " Wabongo wengi wanajua zaidi Bongofleva kuliko Mpira "
Просмотров 5894 года назад
The Mboni Show - Haji Manara " Wabongo wengi wanajua zaidi Bongofleva kuliko Mpira "
The Mboni Show - Binti Kiziwi " Biashara ya Madawa ya kulevya yalinifanya nifungwe gerezani Miaka 8
Просмотров 31 тыс.4 года назад
The Mboni Show - Binti Kiziwi " Biashara ya Madawa ya kulevya yalinifanya nifungwe gerezani Miaka 8
The Mboni Show - Nilisemwa sana kuhusu ndoa yangu, Nimeolewa nikiwa na umri wa miaka 40
Просмотров 50 тыс.4 года назад
The Mboni Show - Nilisemwa sana kuhusu ndoa yangu, Nimeolewa nikiwa na umri wa miaka 40
The Mboni Show - Kikwazo cha Mwanamke ni Mwanamke
Просмотров 2,1 тыс.4 года назад
The Mboni Show - Kikwazo cha Mwanamke ni Mwanamke
Ugomvi wako na Mumeo usiwaathiri watoto wenu
Просмотров 1,1 тыс.6 лет назад
Ugomvi wako na Mumeo usiwaathiri watoto wenu
Vanessa mdee amtania Ommy Dimpoz Back stage
Просмотров 1,3 тыс.6 лет назад
Vanessa mdee amtania Ommy Dimpoz Back stage
Mashabiki wamgombania Ommy Dimpoz!
Просмотров 2866 лет назад
Mashabiki wamgombania Ommy Dimpoz!
Dakika za maandalizi Mboni Masimba na Basila Mwanukuzi
Просмотров 3016 лет назад
Dakika za maandalizi Mboni Masimba na Basila Mwanukuzi
Mambo ni moto kula kionjo hapa The Mboni Show with Basila Mwanukuzi
Просмотров 2626 лет назад
Mambo ni moto kula kionjo hapa The Mboni Show with Basila Mwanukuzi
Usikose kutazama The Mboni Show with Wolper!
Просмотров 1,7 тыс.6 лет назад
Usikose kutazama The Mboni Show with Wolper!
SHOW: Mahojiano ya The Mboni Show na Leyla Part 2
Просмотров 9566 лет назад
SHOW: Mahojiano ya The Mboni Show na Leyla Part 2
SHOW: Mahojiano ya The Mboni Show na Leyla Part 1
Просмотров 1,4 тыс.6 лет назад
SHOW: Mahojiano ya The Mboni Show na Leyla Part 1

Комментарии

  • @user-es7jx9vx4v
    @user-es7jx9vx4v 2 месяца назад

    Kiongozi bora

  • @gadyetheboss8738
    @gadyetheboss8738 2 месяца назад

    Alie itazama hii 2024 tujuane

  • @mickwealthy500
    @mickwealthy500 2 месяца назад

    Kiongozi

  • @abelhilonga1095
    @abelhilonga1095 2 месяца назад

    Anaeqngalia leo 2024 like zangu

  • @deogratiusmfoy1989
    @deogratiusmfoy1989 6 месяцев назад

    Hapa natamani Mr. Paul wa Zuwena angekuwepo kwenye hii show bila kumsahau Bob Haisa.

  • @AyshaYassin-hm5xo
    @AyshaYassin-hm5xo 9 месяцев назад

    That's my Roly model ❤

  • @KhadijaKhadijadunia-ed5nv
    @KhadijaKhadijadunia-ed5nv 9 месяцев назад

    Da Linda unajua kujiachia safi sana

  • @pastorbernardofernando3600
    @pastorbernardofernando3600 10 месяцев назад

    Gig

  • @akulumusa-ny4se
    @akulumusa-ny4se Год назад

    Kweli ww nimkali

  • @neziajoseph9726
    @neziajoseph9726 Год назад

    Hahahahah hahaha..ulale pema peponi mzee wetu...kama upo hai vile

  • @ZackyFlavour-po3os
    @ZackyFlavour-po3os Год назад

    Kama unaangalia 2023 gonga like hapa

  • @khamissadla4317
    @khamissadla4317 Год назад

    Huyu jamaa ni mzima kweli

  • @G.r.e.a.t.I.Q
    @G.r.e.a.t.I.Q Год назад

    Mzee Majuto! 😂😂😂😂😂😂😂Allah ghfir lahu wa rhamhu, wa skanhu fil Jannat (Allah msameh, na Umrehem, na umuweke Peponi. Aamin!

  • @neemasolomon1541
    @neemasolomon1541 Год назад

    Mama nmekupenda sana

  • @neemasolomon1541
    @neemasolomon1541 Год назад

    Mama ww Ni shujaa

  • @maryamsimai6263
    @maryamsimai6263 Год назад

    tuleteeeeni michezo ya small na bichau

  • @mamapeace6730
    @mamapeace6730 Год назад

    Inasisimua mwili

  • @mateusjoao5584
    @mateusjoao5584 2 года назад

    Nampenda sana uyo dada

  • @loveelooh1964
    @loveelooh1964 2 года назад

    Nilipita Thailand ile sehemu Ya kuondokea kuna Mashine kubwa Ata Kama umemeza madawa yanaonekana, na Wakiona mwafrika ndo kabisa wanamkagua sana

  • @mohafishaal4190
    @mohafishaal4190 2 года назад

    Mungu amweke peponi

  • @ammarsalah5693
    @ammarsalah5693 2 года назад

    The mboni show hiii ndio naiona leo nimecheka halafu nimelia Sana Wallah....naomba weka mwendelezo wake please dadaangu daahhh nimemiss kumuona babu yetu huyuuu Allah amlaze pepa katika jannatul firdaus....

  • @omanss268
    @omanss268 2 года назад

    Mashallah ♥️

  • @janethmsigwa7627
    @janethmsigwa7627 2 года назад

    zamani raha jmn

  • @barakalubarati3703
    @barakalubarati3703 3 года назад

    Tutakukumbuka daima

  • @mnassogang2398
    @mnassogang2398 3 года назад

    On line kwenye cm niatar sana yan mimi kila siku ugomv

  • @julianajulius4556
    @julianajulius4556 3 года назад

    Nampenda huyu dada

  • @atanasmkondya5952
    @atanasmkondya5952 3 года назад

    Jamaa katoka mbal

  • @omarsaid4661
    @omarsaid4661 3 года назад

    Masha allah vzur sna.

  • @lizzybahati9833
    @lizzybahati9833 3 года назад

    Inauma sana aisee Mungu atutetee katika maisha yetu ya kila siku 😭

  • @lizzybahati9833
    @lizzybahati9833 3 года назад

    Enz hizo nyimbo ilivuma sana nilikuwa sjui kama ulikuwa nje pole sana madam ndo mapito ya dunia

  • @orestermartin8899
    @orestermartin8899 3 года назад

    Daah mpaka nimelia😭😭😭😭😭

  • @pendooscar9322
    @pendooscar9322 3 года назад

    Mim naogopa sana iyo ishu yaan nikisikia tu mtu kashikwa mavi yanabana kiukweli pole Sana ndugu

  • @kennethngoleka517
    @kennethngoleka517 3 года назад

    Wana Adam tunaamini kuwa Mungu alikuwa na lengo lake katika maisha yako,leo tunakutambuwa zidisha kipaji chako kuna Jambo mbele yako Chiba.

  • @mohamedhaji2200
    @mohamedhaji2200 3 года назад

    Allah ailaze roho ya marehem pahala pema

  • @amos_nderwa639
    @amos_nderwa639 3 года назад

    R.I.P mzee wetu nimeumia Sana dada kuangalia iyo

  • @tresorsamson9200
    @tresorsamson9200 3 года назад

    RIP KING

  • @hamzamohamed9832
    @hamzamohamed9832 3 года назад

    Najua mungu hana rohombaya ila sisi binadamu tunaroho mlaya sana kwakweli kila jambo analo lifanya mungu kwa binadamu lina sababu yake mungu atakusimamia katika maisha yako yote inchallah

  • @sigifridaloyce6978
    @sigifridaloyce6978 3 года назад

    Daimond

  • @paulojohn5974
    @paulojohn5974 4 года назад

    umesikia kauri ya mondi alishauza mitumba ashamuuzia hata alikiba

  • @SPrivy
    @SPrivy 4 года назад

    Sandra nakupenda❤️❤️❤️❤️🥺🥺🥺🥺

  • @SPrivy
    @SPrivy 4 года назад

    Na uyo wastara mtumzima ovyo😹😹💀💔

  • @veevictorius5116
    @veevictorius5116 4 года назад

    Kurudia kosa ndio kosa. Binti maisha yatakuwa Sawa mwamini Mungu

  • @fhvbvgkvgc8073
    @fhvbvgkvgc8073 4 года назад

    Kwani huyu mama mnene ni Coleta yule aki act na kina Ray...? Sipati pic wallah.

  • @hasinarashid2768
    @hasinarashid2768 4 года назад

    Nimekumis sana baba yanguu.sanaa pumzka kwa aman baba yangu

  • @khadijasaidi3010
    @khadijasaidi3010 4 года назад

    Mm.nina.shida.nauyu.dada.nataka.anisaidie.nampata.wapi.jAmani

  • @nurumanyota416
    @nurumanyota416 4 года назад

    Da mboni mimi nilikataa hicho kipindi na mimi nilikuwa na shawishia sana.

  • @nurumanyota416
    @nurumanyota416 4 года назад

    Jamani, alikuwa gereza moja na jack

  • @bakarisakawa6979
    @bakarisakawa6979 4 года назад

    Nashindwa kuelewa hadi sasa nchi za nje wanapohotaji mkalimani wa kiswahili ni lazima achukuliww mkenya hivi kiswahili wa tz hawajui ama wakenya ndo wamahiri zaid

  • @hazelbrown4712
    @hazelbrown4712 4 года назад

    Mboni bwana hahahaha Mwanamke wa Kiislamu unajua kufunika Kichwa Nywele umeziziba ila sasa Miguu yote na Magoti Karibia na Mapaja yapo nje🤦‍♀️🤦‍♀️

  • @pendomariki6562
    @pendomariki6562 4 года назад

    Madawa ukimeza unatoa kwa haja Kubwa that is the comment